Psalms 66:18-19

18 aKama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu,
Bwana asingekuwa amenisikiliza;
19 blakini hakika Mungu amenisikiliza
na amesikia sauti yangu katika maombi.
Copyright information for SwhNEN